
...
Karibu ni TZRabbits blog inayohusiana na masuala ya ufugaji wa sungura na kuunga mkono harakati za kimaendeleo za ufugaji wa sungura
Tunaamini nasi watanzania tunaweza kufanya mabadiliko katika secta ya ufugaji wa sungura Tanzania.
Wafuagaji wa sungura Tunaweza na Tutaendelea kuweza.
Ungana na moja ya team zinaungamkono harakati za kimaendeleo katika kuikuza na kuiimarisha secta ya ufuaji wa sungura Tanzania.