Banda sahihi kwa sungura wako pindi unapoamua kufuga sungura.



Unapomua kuanza kufuga sungura ni vyema kufikiria ni aina gani ya mabanda/banda la sungura ambalo litakuwa salama kwa sungura wako na kwa kuangalia pia ubora utakaofaa kutokana na kipato chako usijilazimishe kufanya kitu kisicho ndani ya uwezo wako. Unaweza kutengeneza banda zuri na bora kuwa kutumia mbao na likawa bora pia na kwa gharama nafuu. Fanya chaguo sahihi la banda/mabanda kwa sungura wako.

 


Image result for rabbits cage













Image result for rabbits cage
Image result for rabbits cage
Image result for rabbits cage
Image result for rabbits cageImage result for rabbits cage

0 comments:

Post a Comment