NEWS... Ufugaji wa Sungura ni secta inayokuwa kwa kasi sana Tanzania .

                                                                                       


Halikadhalika watu wengi nchini wamefanikiwa faidika na elimu zitolewazo na wanaharakti pia wafugaji wa sungura pia wapenda maendeleo kupitia vyombo mbalimbali vya habari, mitandao ya kijamii , semina mbalimbali zinazolenga kuiimarisha secta hii kwa kuwaelimisha jinsi ya kufuga sungura, mambo ya kuzingatia, magonjwa mbalimbali, na halikadhalika na mambo yanayowakumba na kuikumba secta hii ya ufugaji wa sungura nchini ili kuweza kufikia malengo katika secta hii ya ufugaji wa sungura nchini Tanzania.

Kama TzRabbits team tunasema tukiamua tunaweza  na tutaendelea kuweza. Ngao yetu iwe ni ushirikiano na mshikamano kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko katika secta hii ya ufugaji wa sungura nchini Tanzania.
Asante .
Karibu Tzrabbits

1 comment:

  1. Nataka kununua Sungura niko Dar es Salaam naomba kufahamu wapi nitapata mbegu bora na kwa bei nafuu,namba yangu ni 0622221002/whatsapp 0767491081

    ReplyDelete