Hii ndio list ya aina za sungura maarufu wafugwao duniani kulingana na soko la sungura kwa manufaa ya uzalishaji wa nyama, ngozi











Kulingana na soko la dunia kwa taarifa zilitowelewa na chama cha wafugaji wa sungura America kitambulikacho kama ARBA(American Rabbit Breeders Association) kimeeleza kwamba hizi ndizo aina za sungura ambao ambao hufugwa sana katika maeneo mengi dunia kwa lenga la kulenga soko la kimataifa la sungura kwa kuzalisha nyama pia ngozi n.k
 
  halikadhalika kuna wengine pia ambao hufugwa na wafugaji wengi wa sungura duniani  hasa bara la ulaya ambao ni Flemish Giant Rabbits.
Asante natumaini utakuwa umejifunza kitu.










 

0 comments:

Post a Comment