Aina ya Sungura wenye uwezo wa kuwa wakubwa zaidi kuliko wote duniani watambulikao kwa jina la "Flemish Giant Rabbits".
















Pia huweza kukua hadi kufika kimo cha mbuzi na kuweza kuishi kwa miaka mingi.
halikadhalika hupendelea kula vyakula kama 'karoti', 'majani makavu'na mabichi, vyakula vya kuku vinavyopatikana madukani.
Pia Sungura hawa hupatikana kwa wingi Bara la Asia na inavyosadikika enzi za wakoloni nchini Tanzania walikuwa wakipatikana maeneo ya mji wa mbeya. Na kutokana na changamoto za kipindi hicho watu kutotambua umuhimu na faida za sungura na kukosa elimu au ujuzi wa kuwafuga sungura hao kitaalamu basi sungura hao aina ya 'Flemish Giant Rabbits mbega za zake zilitoweka. Je wajua na kama hujui ndo nmekujuza.

0 comments:

Post a Comment