Karibu uungane nasi kwenye timu inayoungamkono na kusupport harakati na maendeleo ya kuikuza na kuiendeleza secta ya ufugaji wa sungura Tanzania.



















ambapo katika blog hii utaruhusiwa kuweka matangazo bure ya kuuza sungura, nyama, mabanda ya sungura na vingine vyote vinahusu ufugaji wa sungura popote ulipo Tanzania.
ambapo itakuwa ni moja kati ya kutatua changamoto za masoko kwa wafugaji wa sungura. asante na unakarishwa kwa sababu maendeleo ni yetu sote watanzania na wapenda maendeleo katika secta ya ufugaji wa sungura Tanzania...

0 comments:

Post a Comment