Je unafahamu vyakula wavipendeleavyo sungura? Ngoja nikujuze













Sungura hupendelea sana kula vyakula aina ya majani majani kama 'majani aina ya MCHUNGA', MCHICHA, KABEJI n.k

Pia  hula vyakula maalumu vya sungura (Rabbits food) viuzwavyo madukani au supermarket pia hata vyakula maalumu vya kuku (chicken foods)



Note: Ni vyema kuwapatia sungura wako majani yalinyauka kidogo na sio kila siku na kila wakati kuwapatia majani mabichi ili kuwaepusha na magonjwa ya kuharisha na minyoo ambao huwasumbua mara kwa mara sungura .

Halikadhalika ni vyema kuzingatia kuwapatia chanjo sungura wako mara kwa mara ili kuwafanya wawe na afya njema na kuwaepusha na magonjwa ya mara kwa mara.
   Asante na Karibu .
Kama unamaswali au Maoni Nicheki kwa Email: Shayhandayran@gmail.com

0 comments:

Post a Comment