Je unandoto ya kuwa bora mfugaji wa sungura? Hujachelewa bado anza sasa wakati wako pia wakati wetu ndio huu sasa kama watanzania

















tuzinduke na tuanze kufanya mabadiliko katika secta ya ufugaji wa sungura kwa sababu tunaweza endapo tu tukijikubali na kuanza kutekelezayale tuliyoyapanga kuyafanya kuhusiana na sungura kwa kuanzisha miradi ya sungura, mabucha ya nyama za sungura, hoteli zinauza nyama sungura n.k hujachelewa wala hatujachelewa huu ndio wakati wetu wa kujaribu,kufanya na kuweza. Tunaunga mkono msemo usemao "kwani walioweza wananini nasi tushindwe tunanini". Naam Nasi tunaweza na tutaendelea kuweza.
welcome TZRabbits.com

0 comments:

Post a Comment