Ufugaji wa sungura kuwa dili kubwa na kutoa fursa kwa watanzania












Sungura ni wanyama wadogo na wenye na wenye uwezo wa kuzaa watoto 6 hadi 12 na kubeba mimba kwa siku 29 hadi 31 kutegemeana na afya ya sungura.
Hivyo bhasi imepelekea kuwa fursa kwa watanzania wengi sana kwa kuwa wamekuwa na faida nyingi sana wameweza kubadili maisha ya watu mbalimbali.
Witu kwa watanzania mashirika binafsi kuanza kuwekeza katika secta hii ufugaji wa sungura kwa kuwa inafaida kemkem zitakazoweza kuleta maendeleo katika nchi yetu.

0 comments:

Post a Comment