SUNGURA MJANJA NAE ANAWEZA KUUMWA

 




























Sungura ni mnyama mdogo sana na wenye kupendeza. 
Halikadhalika hupendwa sana kwa sifa na ujanja wake haswa kwa kutambulika kwa jina la sungura mjanja.
Kutokana na hayo yote lakini nae husumbuliwa na magonjwa mbalimbali yanayomfanya apoteze furaha hasa kwa wale wanaopenda utundu na furaha za mnyama huyu mdogo na mjanja zaidi.


Endelea kutembelea page hii ujifunze zaidi katika makala ifuatayo..


Itaendelea..

0 comments:

Post a Comment