Faida za majani aina ya mchunga kwa sungura.






Sungura hupenda sana majani aina ya michunga, majani haya yafaida zifuatazo. 1.Ni chakula kizuri na salama kwa sungura
2.huongeza protein kwa sungura
3. Huoengeza kiasi cha maziwa kwa sungura hasa kwa sungura wenye mimba.
Hizi ndio baadhi tu za faida za majani aina ya mchunga kwa sungura. 

0 comments:

Post a Comment