Je Maoni yako ni yapi juu ya ukosefu wa masoko kwa secta ya ufugaji wa sungura nchini?



Soko la sungura nchini limekuwa pasua vichwa kwa kiasi kukubwa sana na kupelekea  kupelekea kuwakatisha tamaa wafugaji wengi wa sungura kwa kuhofia kufuga kwa vingi  hatimae kuishia kupata hasara pia kwa ukosefu wa masoko ya kuuza wanyama hao na mazao mengine yanayotokana na sungura mfano ngozi, nyama, mkojo n.k ...
      Je unaushari gani au unamaoni gani juu ya swala hili la masoko.
     Pia ikiwa unamasoko ya uhakika tuchek kwa maelezo zaidi kupita email: shayhandayran@gmail.com

0 comments:

Post a Comment