FAHAMU: Njia pekee ya kuweza kufanikiwa jambo,Ushirikiano ndio njia pekee ya Mafanikio.


















Njia pekee ya kuweza kufanikiwa katika kila hatua ni kuwa na umoja katika utendaji wa jambo husika.

Umoja ni nguvu na sio udhaifu kwa maana kidole kimoja huwa hakivunji chawa.
Hivyo hvyo kwa wafugaji wa sungura hatuna budi kutokata tamaa na kuwa na umoja na mshikamano ili kuweza kufikia lengo letu.









0 comments:

Post a Comment