FAHAMU: Vyakula wavipendavyo Sungura na huwafanya kuwa na afya njema.















     Sungura ni viumbe wadogo na ni viumbe kama walivyoviumbe wengine kama ng'ombe, mbuzi kondoo n.k.
     Halikadhalika hula kama wanavyokula viumbe vingine. Hupendelea sana kula vyakula vifuatavyo na wapopatiwa kwa usahihi huwapelekea kuwa na afya njema.
     1. Hupendelea sana pumba kama za mahindi ambayo ndio kwa kiasi kikubwa huwafanya sungura kunenepa kwa haraka na kuwa na afya njema.
    2. Mimea ya majani kama vile michunga, magugu, mchicha, mikunde n.k.
    3. Hupedelea kula pia Carrot tena kwa kiasi kikubwa.
    4.Pia hula mashudu.
    5. Halikadhalika unaweza wapatia vyakula walavyo kuku kama vile Chiken Food.
 Ni baadhi ya vyakula wavipendavyo Sungura.

0 comments:

Post a Comment