UNAFAHAMU: Mafanikio ni neno dogo sana ila linamaana kubwa sana katika ulimwengu.





















  Ili kuweza kuafanikiwa katika kila jambo unalolifikiria ni vyema kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma kwa moyo moja halikadhalika kukipenda kile unachokifanya bila kusahau kujitoa muhanga kwa jambo hilo,
  Pia kutokata tamaa kwa njia yoyote ile. Na hii ndio siri ya 'Mafanikio'.

0 comments:

Post a Comment