Siri ya mafanikio kwa wapenda maendeleo katika secta ya ufugaji wa sungura
















 Siku zote hakuna jambo linakuja kwa urahisi bila kulihangaikia. Hivyo bhasi ikiwa unamawazo ya kutaka kufanikiwa katika jambo uliwazalo ni lazima ulipiganie kadri uwezavyo kuhakikisha unafikia mafanikio halikadhalika pia kutokata tamaa kwa njia yoyote ile pia kuwa karibu na mambo yanayohusiana na ndoto yako mfano ufugaji wa sungura. Unapaswa kujifunza mambo mbalimbali yanahusu sungura hasa kwa kuhudhuria semina mbalimbali za ufugaji wa sungura na pia kuwa kipaumbele katika masuala ya ufugaji wa sungura. halikadalika kukipenda kuwa mfugaji na pia kuwa  mpenzi wa sungura.


Hii ndio siri ya mafanikio yetu.
 Usikose kuFollow instagram page @usbm_team_changes. kwa wale wapenzi wa sungura wa wapenda maendeleo katika secta ya ufugaji wa sungura.

1 comment: