Unafahamu: Nyama ya sungura inafaida nyingi katika mwili wa binadamu na haina madhara yoyote mwilini.


Ni nyama ya sungura iliyotamu sana na isiyo na madhara yoyote katika mwili wa binadamu. Je umechelewamm kupata utamu wa nyama hii itafute sasa na ushuhudie utamu wake, na usisubiri kubakia kuambiwa tu.

     Faida za nyama ya sungura '
1: Ni nyama nyeupe ambayo huwa na faida mwilini..
2: Nyama yenye Vitamin na Protein kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na nyama ya mbuzi au ng'ombe.
3: Haina madhara katika mwili wa biandamu ukilinganisha na nyama ya ngombe ambayo ni nyekundu.
4: Ni tamu sana na yenye ladha ya kuvutia sana kwa mlaji.
5: Haina mafuta mengi nyama hii ya sungura. n.k.

     Ni baadhi ya Faida za nyama ya ssungura.
Asante na Karibu

0 comments:

Post a Comment