BANDA: Lifaalo kwa mradi mkubwa na wa kisasa wa ufugaji wa sungura.


Katika ufugaji wa sungura wa kisasa ni muhimu sana kuanza kufikiri ni jinsi gani utabuni banda la sungura wako na la kisasa zaidi ili uweze kufuga kisasa zaidi. wataalamu  wanashauri pia ubora wa banda unasaidia katika kuongeza afya kwa sungura kwa kuwa anapoishi katika banda zuri na salama huwa na amani na hufurahia mazingira aliyopo na hivyo kumfanya awe na afya njema.

Hivyo bhasi: Katika picha hii ni moja ya banda bora linalofaa sana katika ufugaji wa sungura wa kisasa katika eneo kubwa .
   
  Faida ya  mabanda ya kisasa kama linavyoonekana kwenye picha ni..
  1. Linakuwa na hewa ya kutosha.   
  2. Ni kubwa na huwafanya sungura kukaa kwa amani.
  3. Ni salama kwa sungura wako kwa kuepukana na wanyama kama paka,nyoka,panya, na mbwa kuwa dhuru sungura wako.
Asante karibu tzrabbits.com

0 comments:

Post a Comment