Umoja na Mshikamano ndio ngao yetu wafugaji wa sungura
















        ⏯ Sisi ni Tanzania mpya yenye kuhitaji matokeo chanya katika secta ya ufugaji wa sungura nchini Tanzania. Tunasema Wakati ndio huu wakuanza kuleta mabadiliko hayo bila kujali Rangi, Kabila wala dini kwa kuwa sisi sote ni watanzania na mafanikio ni yetu sote hivyo hatuna budi Kuungana, Kushikamana, Kupendana na kusaidiana kama wafugaji wa sungura ili kuweza kufanikiwa kwa pamoja.

Hatujachelewa bado Tuanze sasa.

0 comments:

Post a Comment